Kwa hili Qatar wameupiga mwingi

Ww ni shoga hakuna mjadala tena hapa ,, maelezo mengi hakuna la maana uliloandika zaidi ya kutetea tabia yako pumavu
 
Waislamu wanaendesha mambo kifarisayo yaani wanapenda kuonekana sana kuwa wao wanamjua Mungu sana wakati kimsingi dini ya aina hiyo haijawahi kufaulu
Dhambi inatibiwa kwa maombi mengi tena ya kina na yenye hoja zenye akili.
Kila nchi ina sheria zake,, huwezi kuja nyumban kwangu alafu ufanye upuuz wakati sitaki upuuzi huo ktk nyumba yangu.. ukienda ktk nchi za watu lazima ufuate sheria zao walizojiwekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…