BUNDI ALBINO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 415
- 612
Sina maneno mengi ya kusema ila kwa ulicho nacho na ulichokianesha Jana SZIFF trust me bado namtafuta anaekukaribia
Japo kuna watu hapa watapinga. Ila ukweli ni kuwa umenyoosha yale mapungufu yako jaribu tu kuyaficha kama sio kuyapunguza
Wale team official Lynn na ruky baby hawataelewa