Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Mhhh sijui lkn nadhan haujaangalia performance yake na kama umeiangalia basi uliitazama tu!!!Kawaida sana wakuu au macho yangu
Daaah yaaan nandy anacho mzidi ruby ni uzuri na unyenyekevu kwa clods tu. Ila kwa talent ya kuimba, nandy akasome kwanza. Unajua nandy hata hafikii level za yule mshindi wa BSS mwaka jana.Ruby ni mkali sana.
Na nandy pia ni mkali nimecheki show yake ya coke studio nimekubali..
Hawa mamanz ni noma sana..
Sent using Jamii Forums mobile app