Nawapongeza secretariet ya ajira nchini ilivyoonyesha umahiri na uwazi katika interview zilizofanyika mwezi wa nane! Jamaa wako fair tusidanganyane! kuanzia kwenye writen interview hadi kwenye oral!
Huwezi kumuonga mtu, utamjua wapi? Ndo nimetoka shule mwaka jana na nilikuwa sijawahi kufanya usahili na hawa jamaa, lakini interview yangu ya kwanza nao nimepata kazi! Tuliitwa 32 na nafasi ilikuwa moja, na nimeipata mimi!
Nadhan watu wasioipenda ni wale wanapendwa kushikwa mikono na wanaobaki wanajisifia walikosoma! Eti mi wa Mlimani, mara mi wa Mzumbe! Jamaa hawaangalii chuo, wanaangalia uwezo! Nimewapenda sana utumishi!
Kazi ya gross ya 1.8M kuipata kwa serikalin si mchezo! Nimewakubali sana na ongereni sana!