Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

Kikomelo

Senior Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
106
Reaction score
57
Nawapongeza secretariet ya ajira nchini ilivyoonyesha umahiri na uwazi katika interview zilizofanyika mwezi wa nane! Jamaa wako fair tusidanganyane! kuanzia kwenye writen interview hadi kwenye oral!
Huwezi kumuonga mtu, utamjua wapi? Ndo nimetoka shule mwaka jana na nilikuwa sijawahi kufanya usahili na hawa jamaa, lakini interview yangu ya kwanza nao nimepata kazi! Tuliitwa 32 na nafasi ilikuwa moja, na nimeipata mimi!
Nadhan watu wasioipenda ni wale wanapendwa kushikwa mikono na wanaobaki wanajisifia walikosoma! Eti mi wa Mlimani, mara mi wa Mzumbe! Jamaa hawaangalii chuo, wanaangalia uwezo! Nimewapenda sana utumishi!
Kazi ya gross ya 1.8M kuipata kwa serikalin si mchezo! Nimewakubali sana na ongereni sana!
 
Kikomelo hongera kwa kuukwaa ukuu wa idara maana hiyo figure ya TShs. 1.8 million siyo ya fresh from college. Hongera sana
 
Last edited by a moderator:

Hongera mkuu, lakini hapo kwenye mshahara 1.8M graduate fresh from chuo ajira hzhz znazopitia utumishi!!!?
Hapo Umetuokota, labda umeiconvert kwa hela ya Zimbabwe
 
wangepata hao wa mlimani au mzumbe na wewe wa chuo cha huko pembezoni ungekuja kusema hapa? au hukua na vigezo ndo mana umeshangaa
 
Kwa kuchaguliwa wewe inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyomahiri kitaaluma na mwenye bahati kimaisha. Kuna msemo usemao "Debe tupu haliachi.............." wewe sio debe tupu mpaka hapo ila kelele zako zinafanan na kuvuma.

Ilitosha kuwasifu secretariate kwa usawa na haki basi au kuwajulisha wanaJF kuwa umepata kazi bila mbwembwe zote hizo.
Hongera na kila laheri katika utumishi wako kwa uma
 
1.8 serikal ya tz? Kaz gan hyo? Mbunge au? Fresh frm school, utakuwa ume2pga kamba, hongera lkn
 
Masikini akipata ****** ulia....
Maneno mengi kisa umepata kazi..haya tuthibitishie kwa kuweka barua ya ajila uliyonayo
 

Nina uhakika kazi uliyopata ni ya kuitetea secretarieti ya ajira tz kwenye mitandao! Na umeongeza 0 moja mbele,mshaara wako ni 180,000/= na umeambiwa targets uwe unarusha posts na sredi zao sizizopungua 20 kwa siku na wamekununulia na Simu ya kulogin.
 
Muongo mshahara 1,800,000/- kutoka chuo tu vuuup mpaka hapo au uo ni mshahara wa miez sita kwako kaangalie vizur
 
Mjomba usitupe chai. Mshahara nadhani itakua 180,000 umeona vibaya, Iweeeeeee Nshobire huyo.
 
wadau na mimi nimefanikiwa kupata kazi kupitia utumishi, so nashukuru sana na nitaendelea kutafuta up date za ajira maana kupata kwangu hakumaanishi wana janvi wote wamepata, tuendelee kuomba mungu
 

Mkuu wewe ni mmoja wa wahanga wa kukosa ajira nini? maaana namna unavoponda ni dhahiri kuwa umeshakuwa frustrated.

hongera! ila acha kujisifu ! Mshukuru Mungu kwa kukusaidia

Kuongea ukweli nikujisifu? au kwasababu tu kataja mshahara wake kuwa ni mkubwa, basi hapo unamwona kuwa kajisifu??
Angesema kuwa analipwa sh 180,000/= hapo usingeona anajisifu. Ila sababu figure ni kubwa, wivu wako unafanya uone anajisifu.
Acha wivu usio na tija, pambana na maisha
 

Safi sana m2 wangu, ni wa2 wachache sana wa aina yako wanaoweza kusimama na ku7ema ukweli.
 
Nadhani huyu jamaa Kikomeloallishawahi kuleta haja yake HII HAPA mwaka jana miezi kama hii, Mungu kamsikia.
Ambao hamkubahatika msiiponde tume vibaya sababu tu hukubahatika mwaka huu. kuwa mvumilivu kama ndugu huyu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…