mpe pole sana, kimsingi mahari au posa ni sababu za msingi za kupewa msichana huyo na kummiliki kama mke, na unakuwa na uhuru nae bila hata kuingiliwa na wazazi wake.
kimsingi huyu alikuwa kama mke wake, na sheria inaruhusu kumuacha mkee kama amefanya mapenzi njee ya uhusiano, na hii sheria ipo hata kwenye sheria za kikristu, ambazo zinasema huwezi kumuacha mkeo/mumeo, lakini akijulikana alitembea njee ya uhusiano basi unaruhusiwa kumuacha.
USHAURI WANGU: 1. kama anaweza amuache,
2. pia kama atataka anaweza kudai mahari yake, sawa
3. pia anaweza kumsamehe
vyote hivyo sheria inaruhusu.