Stevemike
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 117
- 15
Ukijenga nyumba na kukaa hapo kwa muda mrefu, kisha baada ya miaka barabara mpya ikachongwa na kupitia karibu sana nyumba hiyo kiasi cha kuacha hatua chache. Hapa sheria inasemaje kama nyumba hii sasa haipaswi kuwa hapo kulingana na nafasi kati ya barabara na nyumba? Na hatua gani ninapaswa kuchukua? Wanasheria mtusaidie. Steve.