Kwa hili Simba na Yanga mjirekebishe

malemba

Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
98
Reaction score
76
Habari zenu wanajamvi kipindi hiki ni wakati wa maonyesho ya sabasaba.

Nimeshangaa kuona simba na yanga hawana hata kibanda pale saba saba hili ni kosa kibiashara ukilinganisha hizi timu zina wafuasi wengi sana.
 
Somba tena?

Ila kweli hawa Somba Hawa lazima wajirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…