Kwa hili, Simba wanastahili pongezi

Official App ya Simbah aiitwi hivyo acha Janja bwana mdogo . .tuta'desiable icho ki'Admob chako . UWE NA ADABU!
Hahahah kwaiyo unatishia ...wabongo bhna ..
 
Mi ni simba, hii App mbona hatujaona Simba wakiweka tangazo Kwenye page zingine za habari za simba ka kuna App. Wakaja kuweka jamii forum tu? Labda ka Sio official simba fans App sawa
 
Mi ni simba, hii App mbona hatujaona Simba wakiweka tangazo Kwenye page zingine za habari za simba ka kuna App. Wakaja kuweka jamii forum tu? Labda ka Sio official simba fans App sawa
Ngoja wamkamate huyu[emoji3]
 
Y.Africans [emoji1241] vs [emoji1052] Rollers
Big Bullets [emoji1156] vs [emoji1269] Platinum
A.Stars [emoji1176] vs [emoji1254] Kampala City
Green Eagles [emoji1268] vs [emoji1221] Orlando Pirates
Kano [emoji1184] vs [emoji1110] Asanta Kotoko
Birkama [emoji1108] vs [emoji1173] R.Casablanca
Cano Sport [emoji1095] vs [emoji1098] Mekelle
Green Mamba [emoji1235] vs [emoji1268] Zesco United
Rahimo [emoji1059] vs [emoji1184] Enyimba
Stade Malian [emoji1159] vs [emoji1119] Horoya
UD Songo [emoji1174] vs [emoji1241] Simba SC
Mechi ya Simba live mkonini mwako kwenye Simba tv

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…