Kwa hili Tamisemi mmechemsha kwa asilimia 100%

pam11

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
44
Reaction score
5
Umakini wa serikali yetu uko wapi???? Tamisemi imetoa majina ya ajira mpya za walimu lakini cha kushangaza imeajiri walimubambao wako kwenye ajira tokea mwaka jana...Walimu waliomaliza chuo cha SEKOMU mwaka jana leo hii wameajiriwa kwa mara ya pili...tena kwa kuonyesha ni jinsi gani walivyo wazembe mikoa sio waliyopo sasa hivi kumaanisha kua wamewapanga upya na sio kukosea labda file au anything else. Kwa kweli hili limenisikitisha sana kwa serikali yangu sikivu ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…