Kwa hili tangazo, St. Joseph University mmechemka

mrm

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
24
Reaction score
8
Habari wadau,

Nimeshangazwa sana na tangazo la kukinadi CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU JOSEPH linalorushwa na kituo cha televishen cha Startv,,

Tangazo halina kichwa wala miguu,, maudhui yake hayaendan na uhalisia wa tangazo tajwa,, wimbo unaoelezea tangazo hilo ni mbayaa kupindukia utadhan umetungwa na watoto wa pre-school,

Nathubutu kukiri kuwa miongon mwa matangazo mabaya kama lile la king'amuzi cha continental basi na hili limoo.

JIREKEBISHENI MMEKERA.
 
Kwakweli wamekosa ubunifu,ss sijui nani mwenye dhamana ya kuandaa hayo matangazo. Kituo ama chuo?
 
Kwakweli wamekosa ubunifu,ss sijui nani mwenye dhamana ya kuandaa hayo matangazo. Kituo ama chuo?

Et tangazo la kuadvitise chuo kikuu!! khaa aibu gani hii ubunifu zerooo kabisa.
 
Kwani tangazo lina husu nini jamani mbona hamfunguki.
 
Ngoja nilicheki tangazo kwanza ndo niseme yangu, nisijeropoka bila kutazama tangazo, kama kuna mtu anaweza kuliweka hapa jukwaani aliweke tuone ubovu wake.

Nawe unaesema halifai sema matatizo yako wapi kisha utoe mapendekezo yako, tusiwe watu wakulaumu bila kutoa suluhisho maana hii nchi imefika pabaya kila kitu cha lalamikiwa!
 

Mkuu kama u mfatiliaji mzuri wa taarifa za habari za startv hususani usiku basi unafursa nzuri ya kuliona hilo tangazo,, kwa mtazamo wangu tangazo hilo litakuwa ni brand new maana kwa mara ya kwanza nimeliona jana.

Kwa kifupi tangazo halina hadhi na kibaya zaid haliendani na kusudio husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…