Kwa hili tukio la pili mfanyakazi wa tume ya uchaguzi Kenya kufa kwa kutatanisha, je tuamini nini mpaka sasa?

Kwa hili tukio la pili mfanyakazi wa tume ya uchaguzi Kenya kufa kwa kutatanisha, je tuamini nini mpaka sasa?

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
933
Reaction score
543
Wandugu,

Ni huzuni na masikitiko kuna huyu mama anaitwa Calorine Odinga ni mwalimu ambaye alikuwa msimamizi msaidizi wa tume ya uchaguzi Kenya amekutwa ameuawa, mara ya mwisho alikuwa anakwenda kufuatilia malipo.

Why yanatokea wakati huu wa mchakato wa kumpata President, Dunia lazima ijiulize na kufanya kinachostahili?
 
Aliyekufa ni mluya anaitwa odinga
Labda alikuwa anasiri ya matokeo

Kenyata kuua sio solution ya matatizo kaeni myamalize matatizo

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Wandugu ni huzuni na masikitiko kuna huyu mama anaitwa Calorine Odinga ni Mwalimu ambaye alikuwa msimamizi msaidizi wa tume ya uchaguzi Kenya amekutwa ameuwawa,mara ya mwisho alikuwa anakwenda kufuatilia malipo,Why yanatokea wakati huu wa mchakato wa kumpata President,
Dunia lazima ijiulize na kufanya kinachostahili!!!!!!!!
[HASHTAG]#BADNEWS[/HASHTAG]
Taarifa kutoka kwa Mbunge wa viti maalimu mkoa wa Mara Joyce Sokombi, ameibia Radio Saut Fm kuwa hali Mbunge Bulaya ni mbaya sana na anashindwa kupumua.

Juhudi za kumuamishia hospial ya rufaa ya Bugando zinagonga mwamba kutokana madaktar ktk hospal ya wilaya Tarime kusema hawama na mamlaka hadi mkuu wa wilaya atoe kibali

Aidha mbunge Joyce Sokombi ameiambia Radio Saut Fm juhudi za kumpata mkuu wa wilaya na kamanda wa polis zimegonga mwamba kutokana na wawili hao kuzima simu

Taarifa kamili itakujia hapo baadae
#moringpressure_radiosautfm
 
Daktari anapewa kibali na mkuu wa wilaya?....... Hii sasa kali!!!
 
Serikali ya wanyonge ndipo ilipotufikisha.

Odinga is trying to create a certain narrative. Without any evidence of rigging, they are sacrificing people who will push their agenda that the election was rigged.
Why would the Govt go to Luo nyanza to rig, an area that all officials would be supporting Odinga.
 
Back
Top Bottom