emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
[HASHTAG]#BADNEWS[/HASHTAG]Wandugu ni huzuni na masikitiko kuna huyu mama anaitwa Calorine Odinga ni Mwalimu ambaye alikuwa msimamizi msaidizi wa tume ya uchaguzi Kenya amekutwa ameuwawa,mara ya mwisho alikuwa anakwenda kufuatilia malipo,Why yanatokea wakati huu wa mchakato wa kumpata President,
Dunia lazima ijiulize na kufanya kinachostahili!!!!!!!!
Daktari anapewa kibali na mkuu wa wilaya?....... Hii sasa kali!!![HASHTAG]#BADNEWS[/HASHTAG]
Taarifa kutoka kwa Mbunge wa viti maalimu mkoa wa Mara Joyce Sokombi, ameibia Radio Saut Fm kuwa hali Mbunge Bulaya ni mbaya sana na anashindwa kupumua.
Juhudi za kumuamishia hospial ya rufaa ya Bugando zinagonga mwamba kutokana madaktar ktk hospal ya wilaya Tarime kusema hawama na mamlaka hadi mkuu wa wilaya atoe kibali
Aidha mbunge Joyce Sokombi ameiambia Radio Saut Fm juhudi za kumpata mkuu wa wilaya na kamanda wa polis zimegonga mwamba kutokana na wawili hao kuzima simu
Taarifa kamili itakujia hapo baadae
#moringpressure_radiosautfm
Serikali ya wanyonge ndipo ilipotufikisha.Daktari anapewa kibali na mkuu wa wilaya?....... Hii sasa kali!!!
Serikali ya wanyonge ndipo ilipotufikisha.