wow!!..................... hongera sana mdogo wangu!!.................. ulipata div ngapi??................ mi enzi zangu nilijiwekea malengo ya kusoma chuo kikuu tangu nikiwa darasa la pili!!!.................. na leo mimi ni mmoja wa wasomi hapa duniani!!............. licha ya kusoma shule za st. kayumba, nilipiga div one F4 na F6!! ..............na F6 nilikuwa no. 4 kitaifa!!..................... maana yake ni kwamba kama wangechaguliwa wanafunzi wanne tu kujiunga na chuo kikuu mwaka huo, na mimi ningekuwemo.....................!!!.......... zingatia kuwa kupiga div 1 F6 ni kujihakikishia kuwa msomi katika dunia hii!!..................
we unaniahidi kupiga ngapi F6?.................... weka malengo sasa na uyajumuishe katika maombi yako ya shukrani kwa Mungu............... na utashangaa Mungu atakapojibu maombi yako!!.................. kila la heri......................