Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na kulivuka yakupasa umtangulize Mungu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari.amen.
wow!!..................... hongera sana mdogo wangu!!.................. ulipata div ngapi??................ mi enzi zangu nilijiwekea malengo ya kusoma chuo kikuu tangu nikiwa darasa la pili!!!.................. na leo mimi ni mmoja wa wasomi hapa duniani!!............. licha ya kusoma shule za st. kayumba, nilipiga div one F4 na F6!! ..............na F6 nilikuwa no. 4 kitaifa!!..................... maana yake ni kwamba kama wangechaguliwa wanafunzi wanne tu kujiunga na chuo kikuu mwaka huo, na mimi ningekuwemo.....................!!!.......... zingatia kuwa kupiga div 1 F6 ni kujihakikishia kuwa msomi katika dunia hii!!..................
we unaniahidi kupiga ngapi F6?.................... weka malengo sasa na uyajumuishe katika maombi yako ya shukrani kwa Mungu............... na utashangaa Mungu atakapojibu maombi yako!!.................. kila la heri......................
Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na kulivuka yakupasa umtangulize Mungu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari.amen.
hujambo dada FF??.................... mpe hongera zake mwanao bana, acha kubania!!............. hata hongera ya kibodi tu imekuwa nongwa??....................haya maandishi mwenzio ndo "mganga" wangu aliniambia niwe naandika hivi!!........................ but huyu mganga nilishapanga kumtosa rasmi mwezi july mwaka huu.......................... kuanzia mwezi huo nitakuwa naandika vizuri tu, ondoa shaka.................. tuvute subira shangazi...................Hivyo unavyoandika naona hata form iv hujafika, wacha kumaliza.
HONGERA SANA
you ahve just finished you primary education sir, there are more years to come until you qualify to be recognised