Field wanafanya, hii sio habari ya ukweli.sijui umeitoa gazeti lipi
source ni mimi mwenyewe nalifahamu hilo kwasababu mimi ni mwajiri na nakutana nao wengi tu wananambia hivyo hao wanaofanya wanajitafutia kwa gharama zao wenyewe
Huko utawala ndo tatizo na majungu yao pia udini upo anauleta huyo mama sisawa.
Mkuu wewe tulia tu, nyonya taratibu usipige kelele, wakishastuka walikuwa wakipiga makelele mengi ya majigambo pengine ya vyou walivyosoma japo navyo ni yaleyale, wewe utakuwa umeshameki! Bongo ya leo siyo ya kufuata mikumbo! Hakuna ujamaa tena, wewe fanya yako na nimeshuhudia wana UDOM wengi tu wakifanya vizuri tena zaidi ya waliotoka
vyuo zuefu! Fucus on what you know, na si chuo gani ulisoma!
Pamoja sana mkuu.....!mkuu mimi wapiga soga hawanisumbui nipo hapa namshukuru Mungu mambo yanaenda bila matatizo hawa wanaopiga mavuvuzela ni hasira baada ya kukosa ajira, ajira ni ngumu sana hasa ukitegemea chuo ulochosoma kikubebe lakini kama unasimama wewe na akili yako hope hutokuwa na muda wakujadili vyuo vingine maana ni upuuzi mtupu!
Wewe ni mwajiri,haujui mambo ya wanafunzi.tuulize sisi.
duuu,ni noma sana hao wanafunz wangeandamana ili mkapa ajiuzuru uprincipal b'se uongozi wake ulishafikia kikomo