Kwa hili wacha tusemee!!!

Kwa hili wacha tusemee!!!

Flelex curtis

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
46
Reaction score
16
Habari wapendwa wa jf.
Kwa walio wengi wetu tumeguswa na msiba wa msanii Albert Mangwea almaarufu kama mangwea. Katika kipindi hiki cha msiba usishangae kuona na hata kusikianyimbo ambazo zile zilikuwa hazipigwi kipindi cha uhai wake zikapigwa na hata kuhit kama walivyofanya kwa SHARO MILIONEA.yaan baada ya kufariki amewekwa kwenye TUZO?Na usishangae kama akipewa kiukwel nvyombo vya habar vya Tanzania ni wanafiki katika kipindi kama hiki.
 
Na kwa unafiki kweli wanafiki, Jide kashawashtukia
 
mkuu leo umeongea bonge la point kuliko siku zote.
 
Prime time promotion na makuwadi wake kuweni na huruma- Ngwair miaka kumi ana tuzo 1 tu ila vibaraka wenu kama FA,Linah,barnaba wana tuzo kibao,ni haki???

Jay more,tuzo moja,TID na DULLY SYKES Hawana tuzo hata moja!!! Ni haki kweli?? Halafu mnabisha clouds sio chanzo,clouds sio wanyonyaji,tazameni tuzo za mwaka huu za KILI muone wasanii wa THT na chini ya mameneja wao huenda mkamuelewa p-funk!!!
 
unawapigia kura wanapokuwa kwny categor ama kaz yako kulalamika tu.
 
Back
Top Bottom