Flelex curtis
Member
- Apr 20, 2013
- 46
- 16
Dah mkuu unafuatilia point za watu!!mkuu leo umeongea bonge la point kuliko siku zote.
Prime time promotion na makuwadi wake kuweni na huruma- Ngwair miaka kumi ana tuzo 1 tu ila vibaraka wenu kama FA,Linah,barnaba wana tuzo kibao,ni haki???
Jay more,tuzo moja,TID na DULLY SYKES Hawana tuzo hata moja!!! Ni haki kweli?? Halafu mnabisha clouds sio chanzo,clouds sio wanyonyaji,tazameni tuzo za mwaka huu za KILI muone wasanii wa THT na chini ya mameneja wao huenda mkamuelewa p-funk!!!