Kwa hili wanawake mtapata tabu sana.

Jabesss

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
345
Reaction score
327
Nimejaribu kukaa na kutafakari nimegundua Kuna changamoto sana kwa wanawake wasomi na wengine baadhi ambao sio wasomi ila wana tabia za ubabe

Wanapokua kwenye mahusiano wao ndio wanataka kudhibiti muenendo mzima wa mahusiano na kuhitaji kummiliki/kumtawala mwanaume ndio maana utaona wanawake wengi ambao Ni wasomi na wazuri wa umbo na sura wanaume hawataki kuchukua msalaba wa kuwa nao kwenye ndoa kwa sababu alie mwerevu anafahamu shida yao japokua sio wote ila wengi hawapendi kuongozwa na mwanaume ila wao wenyewe wanahitaji kuwa manahodha.

Ni hayo tu kwa sasa nitarudi [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…