Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??
<br />Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule mdada kwa kuamua kuishi na kile kibabu? Nashindwa kuwaelelewa madada! What wanagain kuwa na vibabu kama vile? Is it money or what? Me naichukulia hii ishu ya watoto wadogo kuolewa na vibabu kama sin flani ambayo yatakiwa kuwa amri ya11 ya mungu! Hivi mama mushumbuzi anagain nini kuwa na babu slaa!? They dont match hata kidogo! Bibiye yupo young,strong and energetic! But babu yetu slaa ni kwishnei! How do they balance kwenye mambo yetu??
Mkubwa naomba unifafanulie hicho ipengele cha kiroho plzmpendatz, ulishawahi kufikiria mushumbuzi alikosa nini huko alikokuwa mwanzo kabla hujafikiria ame-amegain nini kwa dr?<br />
watu wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kiuchumi, kutafuta umaarufu, kiroho, mapenzi, opportunities na zingine nyingi. niliona mdada kaolewa na mtu mzima sana kwa sababu kila kijana aliyekuwa nae aliuumiza moyo wake vibaya sana. ur taste might be different from hers. let her live her life banaa, kupanga ni kuchagua!