Kwa hili wanawake siwaelewi, nawashangaa and wanahitaji kupimwa akili!!


naitaji kukupima akili

wanaume vilaza,wambea na wavivu wa kufikiri km nyinyi ndo mnaosababisha giza tz.
 
jamani inatosha,naipendatz message ameshaipata,hatorudia tena
 
<br />
<br />
werevu hujadili future, wapumbavu hujadili mambo ya watu
 
una mjua TUPAC? anasema dont judge me ,if dont knw me,, huu msemo una maana nyingi ,, wazee kama hao balaa, wana mapenzi wanajua kubembeleza ,, hao wanajua kila kitu ,, wajanja , watundu, ,, sisi wazanzibari tunasema kindana usicho kilalia hukijui kunguni wake? kuna mambo huwezi kujua kama kujayaona ,au huja kaa karibu nayo .nadhani inatosha hapo
 
Kila ndege hutua mti aupendao,sasa we shangaa wenzio wanasuuza nafsi zao!!!
 

kipendacho rohoo..we ulitaka aje kwako?
 
Hivi umeoa au kuolewa???
Ulishawahi kuwa na uhusiano na watu wa umri gani labda compare na wako?
Unavyoshangaa ya wenzio na wao wanashangaa yako.
Raha anijua yule binti,naomba umfate ukamuulize utuletee majibu.
 
ah aaahhhh!! sasa sie tutajuaje. nakushauri umuulize huyo bint alifuata nin?
 
Kushnehi slaa nani kakwambia? Ona kajipinda katoa dume,unafikiri kuzaa mtoto wa kiume ni mchezo kijana?inaonesha Slaa ni dume la mbegu bwana <br />
<br />
 
Hayo ni ya kaka Will na Da' Jose. Wewe hayakuhusu. Waache!
 

Vigezo ulivyotumia ni vyako ..lakini kumbuka hata wao wana vigezo vyao.. sio lazima wafuate vigezo vyako! kikubwa tu kama wanaheshimu mamlaka ya duniani yaani sheria (over 18 years)..kwani hata Mungu ametuambia tuheshimu mamlaka ya duniani.

Zaidi ya hapo..waache na vigezo vyao ..iwe hela, mapenzi etc..wanajua wao na sisi tusiwaingilie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…