Kwa hili, wenzetu Zenji hamkujipanga; vita ya waingereza na wazenj ilidumu dakika 38

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Mwaka 1896 serikali ya Zanzibar iliingia vitani na ile ya Uingereza. Vita hii iliisha baada ya dakika 38. Waliokufa au kujeruhiwa vibaya kwa Wazenj walikuwa 500 huku Waingereza wakijeruhiwa askari mmoja. Zenj ili-surrender ndani ya dakika 38 za vita. Ime-rekodiwa kama vita vita iliyodumu muda mfupi kabisa duniani. Wazenj Poleni kwa mkasa huu. Yaelekea Wazenj ama hawakuwa wamejipanga vizuri kabla ya kuamua kupigana au hawakuwa na dhamira ya kweli ya kuzipiga au agenda ya kizalendo haikuwa na mashiko.

Pana somo kubwa sana hapa kwa nchi zetu na wazalendo wa ulimwengu wa tatu hususan inapokuwa kwamba kuna agenda ya kizalendo inayokinzana na madola ya nje.

Wewe unasemaje?



source: Britain’s War With Zanzibar — Over in 38 Minutes | militaryhistorynow.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…