Kwa hili Yanga tunajitafutia Matatizo tu

Kwa hili Yanga tunajitafutia Matatizo tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Zahera alikuwa na bado ni kocha mzuri na msemaji wa team ambye hatujawahi pata.zahera alikuwa pia mfadhili akionesha mapenzi yake ya dhati kwa yanga.

Waandishi wa habari walimpenda sababu anajua kiswahili na anajua kuongea cha kuwapa wao waandike.yanga tunamfukuza.huu ni wendawazimu.tuna wasiwas ndani ya yanga kuna wanasimba.

Mara ngapi zahera katoa pesa yake kununulia wachezaji chapati?kuwanunulia chips kavu?au kuwasaidia kupanda ndege?leo mnafukuza zahera kama mbwa.

Sisi tulishamuunga mkono kuvaa vipensi.nakumbuka mimi nmeshakata jeans zangu tatu ziwe vipensi.sasa ntavalia wapi?huu ni upuuzi.

Zahera tungemtumia kama kocha,msemaji wa team na mfadhili.tungepata watu watatu ndani ya mtu mmoja.leo mnamfukuza?hizi ni hujuma za simba
 
Kanywe naye chai kama unampenda sana,ila sisi wenye yanga yetu tushaona hawezi kutupeleka popote
 
Mlimfukuza Omog na kile kibabu Kifaransa...Yanga hatukuongea mbona mnawashwawashwa na Zahera
Hawa watu ni wasengelema ,walikuwa wanampenda eti ni mfanyabiashara,eti siyo kocha mara sijui nini ,leo hii wanamtetea.Halafu kwanini wasihangaike yao ya Yanga waachie Yanga wenyewe?
 
Nchi hii ukisema ukweli unarudishwa shamba ukalime
 
"Sisi tulishamuunga mkono kuvaa vipensi.nakumbuka mimi nmeshakata jeans zangu tatu ziwe vipensi.sasa ntavalia wapi?huu ni upuuzi"

Wewe jamaa hukuwepo Morogoro pale Msamvu wakati ule wa tukio?
 
Naiiii sasa ataingiza goiii ,Mimi asema moinga nyinyi naita falcao ataingiza goli fifteen ,jui aliingiza goi mbili ...ntamkumbuka komando vipensi
 
Back
Top Bottom