Kwa hili yataka moyo

mnyandzombe

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
245
Reaction score
194
Hivi kwa nini wanawake wakiwa wajawazito huwa wakorofi sana. Maana uvumilivu inaweza shindikana.

Wanaume nipeni nasaha mlivumiliaje masumbufu hayo maana sio kwa vitimbi hivi

Unaweza hama nyumba
 
asanten kwa kunipa moyo maana nilianza kuchoka
 
usikate tamaa Mnyandzombe. huyo ni wako yatakwisha tu na uskute anakuletea dume. kwa hiyo hapo si ajabu unapambana na katoto kako indirectly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…