Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
white poverty. sio kama tunapenda, bali na wao wawe na adabu kutufaya tuonekane kama vikaragosi wa sayari hii. Sembene Ousmane katika kitabu chake cha God's bits of wood kaonyesha ni jinsi gani wazungu wanavyotufananisha ma vipande vipande baada ya kuni inayohitajika kutolewa. nadhani mnavifahamu