Kwa hisani ya wanaume wenye msimamo

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Yani Unachati dem Wewe upo kibaruani yeye yupo
nyumbani mfano unachatnae fb,whatsaap au mtandao
wowote alafu unamuuliza baby unafanya nini now
anakwambia nimelala baadae tena unamuuliza
unafanya nini anakwambia nacheza playstation game
yani hana kazi yeye kulala lala siku zote zamaisha yake alafu ukichelewa kujibu mesage zake anatuna
kama mpira. Jamani wadada kuna kazi nyingi uza
hata nyanya,vitumbua,mandazi biashara zipo kazi
nyingi tu hata kama hauna mtaji njoo uniombe
ntakupa mdada wa hivi baadae anategemea umuoe
umuweke ndani saivi wanaume wote hatuki madem wakukaa kaa kutujazia choo mfanye kazi.... #Mimi ntaendelea kusema ukweli mimi sio sukari ya warembo me ni mgumu sukari ya warembo ni
diamond
kwahisani ya wanaume wenye msimamo
 
#kwa hisani ya wanaume wenye msimamo
Jifiche wanakuja na tope
 
Dogo tafuta kazi hizi posts zisizo na kichwa wala mguu unazojaza JF zinajaza tu servers.
 
Inawezekana hao uliowazungumzia ni wasichana wadogo n mostly students.

Pia ukifanya utafiti utagundua labda ni 20% ya wasichana wote wa Tz watakaokujibu hivyo.

Siwatetei, ila mabinti wengi wa sasa wanajielewa sana na mambo ya Play stations 3,4 na xbox games wanaona ya kitoto.
 
Dogo tafuta kazi hizi posts zisizo na kichwa wala mguu unazojaza JF zinajaza tu servers.
naona limekubamba mbona yamekuuma, hii posti nimeikubali leta yako basi yenye kichwa na miguu. pole mkuu
 
Wamekupa limbwata, si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…