Kwa hisani ya watu wa Marekani(wahisani)

Kwa hiyo mkuu ukiwa rais si unapiga bei nchi yote asubuhi na mapema maana hauamini kwamba Tz ni nchi huru na ina uwezo wa kuamua mambo yake kwa namna inayoona inafaa.
Nchi huru !!! Kuwa Nchi huru haimaniishi kwamba you can eliminate your civilians unavyotaka halafu mataifa mengine yakutazame tu ,
 
Nchi huru !!! Kuwa Nchi huru haimaniishi kwamba you can eliminate your civilians unavyotaka halafu mataifa mengine yakutazame tu ,
Ila ni siasa taifa moja kuua watu wa taifa lingine?
 
Ila ni siasa taifa moja kuua watu wa taifa lingine?
Wote ni uovu na sijawahi kusimama upande wa uovu

So wote wanapaswa kushughulikiwa so siwezi kutegemea upande wa serikali eti kisa USA Amewahi kufanya hivyo Kwa mataifa mengine

Huwezi kurasimisha uovu na ushenzi Kwa uovu na ushenzi ,

Uovu ni uovu tu .
 
Muovu anaweza kuwa na nia ya dhati na njema ya kumwajibisha muovu mwenzake?
 
Akitaka kidogo anaigeuza inakuwa 6
Akitaka kingi anaigeuza inakuwa 9
 
Lucas Mwashambwa
 
Muovu anaweza kuwa na nia ya dhati na njema ya kumwajibisha muovu mwenzake?
Hilo linakuja na kupata authority pale tu ambapo unapo tumia pesa za muovu huyo halafu unataka kumpangia namna ya kukuamulia kuishi πŸ˜„πŸ˜„

Ukiwa omba omba Kwa yeyote yule Wewe ambaye ni omba omba huna kauli Kwa unaye muomba yeye ndiye atakaye kupangia namna ya kuyaendea maisha Yako

Otherwise tafuta power ili nawewe uwapangie wenzako

Umeona alichofanya Iran !?
 
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba ukiwa muovu na ukiwa na power hakuna matata, upo free kufanya lolote utakalo?
 
Hapo yanawaza kwenda huko kuishi , yakifika huko bado yanafuatilia na TZ
mengine yaliwahi kujidanganya kwamba eti huko kuna maisha mazuriii, walipoenda wakaishia kwenye kazi za kuogesha mbwa, kuosha vyombo na kumenya vitunguu kwenye mahoteli ya wenyewe, na walipoona imekua ngumu wakarejea nyumbani kimya kimya na sasa wanainjoy life tamu kwao Tanzania,

akina sugu hao
 
Kwenye vyombo vya habari huwa wanasema ni pesa za ndani kwa 100%, hapa umewaaibisha.
 
Inasikitisha sana, wamarekani wanatujengea mpaka vyoo wakati kule bungeni wanachezea pesa tu kwa posho na mishahara.
 
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba ukiwa muovu na ukiwa na power hakuna matata, upo free kufanya lolote utakalo?
Una kubaliana na nani !? Kama una fuatilia comments zangu kwenye thread mbali mbali Mimi ni miongoni mwa watu wanaoipinga USA Kwa matendo yao dhidi ya mataifa ya watu wengine ,

Lakini Kwa hili na waunga mkono Asilimia mia , huwezi kuua wananchi wako kama kuku halafu uishi tu like nothing was happen

Ni mpumbavu tu na mjinga ndiye anaye Ona kuwa ni sawa Kwa yale yaliyo tokea wakati wa uchaguzi shenz type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…