Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kiongozi kuna tangazo moja linalohusu jinsi ya kutatua migogoro kwenye ndoa sasa limedhaminiwa na watu wa marekani!
Hahaha si ndo apo mkuu tunapojiuliza yaani mpaka maswala yetu ya ndani ya ndoa tuyatatue kwa hisani ya watu wa marekani? Kweli kama ulivyosema "stupid behind comprehesion" si ajabu. Hata kumvisha mtoto nepi tutaitaji hisani ya watu wa marekani!Oh really? Wamarekani ambao ndoa zimewashinda na ambao viwango vya talaka viko juu.....? Wamarekani ambao wanaunda tovuti kama www.Ashleymadison.com? Wamarekani wanaotengeneza programme kama Cheaters? Miafrika bana....stupid beyond comprehension....
Hahaha si ndo apo mkuu tunapojiuliza yaani mpaka maswala yetu ya ndani ya ndoa tuyatatue kwa hisani ya watu wa marekani? Kweli kama ulivyosema "stupid behind comprehesion" si ajabu. Hata kumvisha mtoto nepi tutaitaji hisani ya watu wa marekani!
Kivipi? Please expound....
Jinsi unavyojibu posts; kwa mnato na hiyo avatar yako, naona kama nakuona ona ona hivi. Kwa hisani ya watu wa marekani naomba huo mgongo kwa muda... nimalize njozi zangu za mchana mchana
hahaha si ndo apo mkuu tunapojiuliza yaani mpaka maswala yetu ya ndani ya ndoa tuyatatue kwa hisani ya watu wa marekani? Kweli kama ulivyosema "stupid behind comprehesion" si ajabu. Hata kumvisha mtoto nepi tutaitaji hisani ya watu wa marekani!
What is this 'kwa hisani ya watu wa Marekani' all about?
hata zikiingia hazina neno. kusoma siyo shida, take them as refreshments my dear. ni good kwa afya. lakini kama unaona majaribu ni mengi ni vizuri kudhibiti baadhi ya watu...........
huku nimeshadhibiti.....zinatoka tu haziingii...usiwe na shaka my dear
huku nimeshadhibiti.....zinatoka tu haziingii...usiwe na shaka my dear
juzi niliona kwenye taarifa ya habari huko morogoro jeshi la polisi lilikuwa linateketeza silaha kwa hisani ya japani, yaani nilijiuliza hawa japan ndo wametufadhiri kuteketeza silaha, ina maana jeshi letu hata hela ya kununua mafuta ya taa au petrol ya kuunguzia bunduki hawana?? Nilishangaa sana..nchi hii tumejaa fikra tegemezi na hii yote ni kutokana na raisi wetu ambaye siku zote ameamini wazungu wanaweza toka huko waliko kuja kutuendeleza ..aibu na hasira kali nilizipata..