Majeruhi...huyu anakuja kwa mkopo wa miezi 6 Mshery atakuwa kapona kabisa na kucheza, yeye atarudi zake Singida BS, unless otherwise.Kwahyo mshery atakuwa anafanya nn.. au kula pesa za Bure, Duuuh hiz Timu zetu hzi
.!!
dah, kwahyo saivi wanaingiza viwili, mwiko na Kidole cha Metacha....Lazima kimoja kitawaponyokaItakuwa pembeni ya mwiko