Kwa hiyo Iran ndio wameshindwa kabisa kulipiza Kisasi cha Netanyahu kumbamiza kiongozi wao mkuu Ayatollah kwa sekunde 40 ?
View attachment 3562608
waliapa kwamba wangelipiza kisasi kwa kumuua Benjamin Netanyahu, lakini hadi sasa wameishia kusambaza video na picha za AI ambazo zimeshakuwa expired, ukweli unaonekana wazi Netanyahu ni mzima wa afya.
Imeshindikana kabisa kulipiza kisasi ?