Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Hii nchi ilishakuwa huru kwa takribani miongo sita sasa, wewe endelea na minyorororo hapo ufipani. Sisi tunajenga nchi.
Chadema na watu wake ovyo sana, kwahiyo na nyie mgombea wenu atakuwa anaongelea uhuru wa kubwabwaja na yeye kutandikwa risasi tu? Ya ngoswe muachie ngoswe. Magu ana mambo mengi kuna baadhi umeyataja na mengine mara 6 yake ya uliyoyataja. Na mengi yake amesha yatekeleza hakuna ambaye hajui zaidi ya nyie waroho wa madaraka mnaotaka kuingia na porini.
Hapo ndo unajiona unajua kuchambua,[emoji12][emoji12] na safari hii [emoji867]litawahusu tena.Kwenye username hutakuwa umesahau silabi - "to".
Ni kuulizia tu mkuu. Kwa nia njema lakini.
Hapo ndo unajiona unajua kuchambua,[emoji12][emoji12] na safari hii [emoji867]litawahusu tena.
[emoji41]CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua
So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?
Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?
CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
Nimetimiza wajibu wanguKama hajakutuma umsemee ulichoandika kwa kiswahili sahihi kinaitwa u-to-poro.
Wengine huwa wana katana kali sahau hako ka silabi "to".
Ila la msingi ni kuwa tunaendelea kuelewana kwa maana mtanzania wa leo si yule wa jana.
Kama hii number nane ya matakoni ndo iliyo mtoa kabisa kwenye line[emoji23][emoji23]
Balaa tupu mkuuCCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na matofali - ndo maana ukimsema tu anakurushia tofali miguuni likuumize, Hana kingine anachojua
So Huyu mgombea Urais wa CCM atakuwa anaongelea Matofali na madaraja tu? Na Uwanja wa Ndege wa kijijini kwao? Na Ndege za kumpeleka kijijini kula Krismas?
Kwake Uhuru na Ustawi wa raia si agenda?
CCM mna kazi...sema mmebeba vipande vya tofali mikononi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hii number nane ya matakoni ndo iliyo mtoa kabisa kwenye line[emoji23][emoji23]