Zacharia Kifyasi
Senior Member
- Dec 23, 2012
- 135
- 24
Wakuu naomba mawazo yenu, nilifanya mtihani kama mtahiniwa wa kujitegemea na matokeo ndo kama hivyo, Pinda anaunda tume kuchunguza kilicho tokea. Je nisubiri matokeo ya tume ya pinda au nikarisiti? Pia Nimeona hotuba ya mkuu wa kaya, ya mwisho wa mwezi wa february, Dah inakatisha tamaa!