Zacharia Kifyasi
Senior Member
- Dec 23, 2012
- 135
- 24
Tarehe ya mwisho kwa hawa watoto wetu kujiandikisha kurisiti ni nilini wadau? ninakajomba kamepata four.
Wakuu naomba mawazo yenu, nilifanya mtihani kama mtahiniwa wa kujitegemea na matokeo ndo kama hivyo, Pinda anaunda tume kuchunguza kilicho tokea. Je nisubiri matokeo ya tume ya pinda au nikarisiti? Pia Nimeona hotuba ya mkuu wa kaya, ya mwisho wa mwezi wa february, Dah inakatisha tamaa!
31 march 2013

Mkuu, we angalia ustaarabu wa maisha yako ya mbele. Ukikaa na. Kungoja matokeo ya tume utapoteza muda wako bureee na usipate majibu tofauti na yaliyopo.
Kama credit zipo za kutosha kukuwezesha kuendelea nakushauri uulizie CBE certificate entry requirements zikoje.
Ukianza na certificate itakusaidia then unaendelea from there
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums