Kwa hiyo Ronaldo hakugusa ule mpira wa goli dhidi ya Uruguay?

Thaari

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2022
Posts
402
Reaction score
645
Naona bado kuna utata kuhusu like goli la Bruno Fernandes baada ya kutupia cross iliyoenda moja kwa moja hadi kambani. Ronaldo Reaction yake anadai ameuparaza ule mpira kwa kichwa, vipi wewe maoni yako?

========

Bruno Fernandes thinks Cristiano Ronaldo touched the ball for Portugal’s first goal despite Manchester United man being credited with it, with former club teammate claiming the same post-match.

Bruno Fernandes says he thinks Cristiano Ronaldo touched the ball for his first goal against Uruguay, with the striker claiming the same to a friend.

Portugal qualified for the last 16 of the Qatar World Cup with a 2-0 win at the Lusail Stadium, and the scoresheet showed Manchester United’s Fernandes bagged a brace.

His second of the night was undisputed as it came from the penalty spot, but his first caused plenty of debate.

The midfielder saw his ball from the left hand side pass the head of former United teammate Ronaldo before nestling in the far corner, and the official scorers judged that it did not touch the No 7

He was convinced, though, and ran off in celebration, and it turned out that Fernandes was in agreement.

Speaking post-match, he said: “I celebrated as if it had been Cristiano’s goal.

“It seemed to me that he had touched the ball, my objective was to make a cross for him.

“Regardless, we are happy for the victory, if one of us scores or the other does.

"Bruno Fernandes thinks Cristiano Ronaldo touched the ball for Portugal's first goal despite Manchester United man being credited with it, with former club teammate claiming the same post-match"

Talksport
 
ze-dudu
ndugu yangu mbona hivyooo! Hivi unadhani kwa nini FA ya ureno imesema italalamika kwa FIFA goli lirudi kwa Ronaldo!! Slow motion imeonesha contact kati ya mpira na kichwa cha Ronaldo!!
 
Naona bado kuna utata kuhusu like goli la Bruno Fernandes baada ya kutupia cross iliyoenda moja kwa moja hadi kambani. Ronaldo Reaction yake anadai ameuparaza ule mpira kwa kichwa, vipi wewe maoni yako?

========

Bruno Fernandes thinks Cristiano Ronaldo touched the ball for Portugal’s first goal despite Manchester United man being credited with it, with former club teammate claiming the same post-match.

Bruno Fernandes says he thinks Cristiano Ronaldo touched the ball for his first goal against Uruguay, with the striker claiming the same to a friend.

Portugal qualified for the last 16 of the Qatar World Cup with a 2-0 win at the Lusail Stadium, and the scoresheet showed Manchester United’s Fernandes bagged a brace.

His second of the night was undisputed as it came from the penalty spot, but his first caused plenty of debate.

The midfielder saw his ball from the left hand side pass the head of former United teammate Ronaldo before nestling in the far corner, and the official scorers judged that it did not touch the No 7

He was convinced, though, and ran off in celebration, and it turned out that Fernandes was in agreement.

Speaking post-match, he said: “I celebrated as if it had been Cristiano’s goal.

“It seemed to me that he had touched the ball, my objective was to make a cross for him.

“Regardless, we are happy for the victory, if one of us scores or the other does.

"Bruno Fernandes thinks Cristiano Ronaldo touched the ball for Portugal's first goal despite Manchester United man being credited with it, with former club teammate claiming the same post-match"

Talksport
Weka video
 
Sasa sijui tumwamini nani,
Kwa macho mimi niliona kama aliugusa harafu na jinsi alivyotoka kushangilia sikuwaza nani kafunga maana hata Bruno alienda kumpongeza CR sasa huku mpira ukiendelea nikashangaa wanabadili mfungaji na maelezo ya watangazaji kuwa sijui wataalamu ila nilichogundua wenzetu wanataka sana rekodi ndio maana Pepe na uzee wake lakini kaitwa kufikisha rekodi za kucheza mechi kadhaa Kombe la Dunia...
 
Cheki picha hii hapa inaonesha mgusano kati ya mpira na kichwa cha Ronaldo!

1669826277375.png

Picha ya kushoto inaonesha Ronaldo akielekeza kichwa chake kwenye mpira, na picha ya kulia inaonesha kichwa cha Ronaldo kimeufikia mpira na kuuparaza kuelekea golini!!
 
Wanadai eti Ronaldo na Adidas haziivi, lakini Ureno sio ndo imes
 
Penaldo kaisha anataka magoli ya mezani aibu hii
 
Hakuubadilisha uelekeo, na wala hakuugusa ule mpira! Binafsi, nilishangaa sana alivyo shangilia kama alifunga yeye. Na hicho ndicho kilichofanya watu wadanganyike kuwa alifunga yeye!
Na golikipa, aliganda alipokuwa, akitegemea ule mpira ungepigwa kichwa na huyo R7, matokeo yake ukapitiliza!
 
Back
Top Bottom