Kwa hizi course ni ngumu sana kupata GPA kubwa

Kwa hizi course ni ngumu sana kupata GPA kubwa

Dr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
217
Reaction score
193
Kama unakua na malengo ya kumaliza chuo kikuu na GPA kubwa, kwa hizi fani ni ngumu sana na hasa kwenye hivi vyuo.

1. BSc Land Management and Valuation (Ardhi University)

2. BSc Geomatics (Ardhi university)

3.BA Architecture (Ardhi University)

4.Doctor of Meedicine (KCMC0)

5.Tele commonication (COET-UDSM)

6.Barchelor of Education in Mathematics (UDOM)
 
Mmmhhh labda umechambua kwa juu juu tu bila.kuna coz ndo balaa zaid kama za Engineer zote.watu wanaomba kumaliza chuo na gamba na si gpa.ni balaa sana aisee.
 
Mungu amsaidie mke wangu anasoma land management and valuation apate tu ilo gambaa ata asipopata gpa kubwa ts okayyyyy... ila gamba muhimu :-*
 
List yako haina uhalisia!! Coet unataja Telecom?? civil unaiacha?? wapi na wapi??
 
UDOM hakuna bachelor of education in mathematics , so natilia shaka bandiko lako lote
 
Mh! iko bachelor of education in mathematics ?
 
Karai za kutosha, Prof. Muya, Dr. Makulilo, Prof Nyirabu, Prof Mukandala, et all,
ivi Prof Nyirabu yuko: huyu jamaaa lishawahi kusema hili darasa natakiwa kufundisha watu 25 ila naona watu mmefanya option hii kozi basi mtakuja kuisoma tena mwakani.Wiki ilivyoisha darasani tulibaki 25 tu.
 
Ok,sioni mantiki ya hii Hoja,kwani ugumu wa kozi katika hivyo vyuo ndo ugumu wa kazi makazini au maishani?

Pia kozi uliyosoma ikiwa ngumu,na kama ukafanikiwa ukamaliza salama ukapata gpa unayoitaka imekusaidiaje hiyo GPA? je ni above 3.5 or below that?

Pia Hao walimu(waadhiri) wenu nadhani sio wazima kiakili,pia watakuwa ni TabulA Rasa,kwani kumferisha mwanafunzi wakati kafauli kweli si sawa,kisa kakunyima hongo,penzi au kakuzidi maarifa ya ziada,pesa etc.

Naendelea kusema hata hao walioleta hayo masomo duniani pengine hawakupata hizo GPA,na hata kama walipata hazikuwasaidia kitu.

Tambua TZ kuna vyuo vingi under NACTE and TCU sio hivyo pekee yake,Ubora wa GPA unaupimaje,? Output katika kazi,Innovation,etc?
So umesoma Sawa hiyo rlimu na GPA lako limekusaidia nini? au umepata kazi umebweteka na kuishia kupanda ndege na magari yaliyotengenezwa nje ya nchi? GPA zenu zilete Faida na matokeo mazuri basi.

Note.
 
Kwa waliosoma dit telecom na computer eng kuna jamaaa anaitwa ngumuo. Ni noma sana alikuwa anatulazimisha tuandike notes kwenye daftari kwa mkono alfu kila akiingia darasani anakagua daftar moja baada ya nyingine
 
List yako haina uhalisia!! Coet unataja Telecom?? civil unaiacha?? wapi na wapi??

Utaiachaje Civil,Mechanical na Electrical Engineering? Mleta uzi, are you serious? Hizo tatu ni fani kongwe kabisa na ngumu kabisa tena katika vyuo vyote makini!
 
BA-ECONOMICS ya hapa udsm haipo?ebu rudia kufanya utafiti wako upya..kufikisha hyo course work ya 16 tu mpaka twende muda wa nyongeza au wakati mwingne zinapatikana kwa matuta.
 
Back
Top Bottom