Ok,sioni mantiki ya hii Hoja,kwani ugumu wa kozi katika hivyo vyuo ndo ugumu wa kazi makazini au maishani?
Pia kozi uliyosoma ikiwa ngumu,na kama ukafanikiwa ukamaliza salama ukapata gpa unayoitaka imekusaidiaje hiyo GPA? je ni above 3.5 or below that?
Pia Hao walimu(waadhiri) wenu nadhani sio wazima kiakili,pia watakuwa ni TabulA Rasa,kwani kumferisha mwanafunzi wakati kafauli kweli si sawa,kisa kakunyima hongo,penzi au kakuzidi maarifa ya ziada,pesa etc.
Naendelea kusema hata hao walioleta hayo masomo duniani pengine hawakupata hizo GPA,na hata kama walipata hazikuwasaidia kitu.
Tambua TZ kuna vyuo vingi under NACTE and TCU sio hivyo pekee yake,Ubora wa GPA unaupimaje,? Output katika kazi,Innovation,etc?
So umesoma Sawa hiyo rlimu na GPA lako limekusaidia nini? au umepata kazi umebweteka na kuishia kupanda ndege na magari yaliyotengenezwa nje ya nchi? GPA zenu zilete Faida na matokeo mazuri basi.
Note.