Kwa hizi course ni ngumu sana kupata GPA kubwa

BA-ECONOMICS ya hapa udsm haipo?ebu rudia kufanya utafiti wako upya..kufikisha hyo course work ya 16 tu mpaka twende muda wa nyongeza au wakati mwingne zinapatikana kwa matuta.

true say kuna friend angu anasoma bsc in Eco &statscs ni sheeedaaaah anasemaaa
 
course za earth sciences{mining eng., petroleum eng, geoinformatcs, petroleum geology etc} nazo ni sheeedah!! GPA hazisomi huku!!
 
mleta uzi unatania watu coz ngumu duniani ni mbili tu Law na Medicine zingine uwezo wako tu ndo uutilie mashaka
 
Kupata unaweza kupata chochote ukiwa na focus kuna dada amemaliza 2014 kapata GPA ya 5.0 Architecture ARU
 
Mfumo wa elimu ya Tanzania ni complicated, wanafunzi wanaandaliwa katika kukariri vitu badala ya kufundishwa kwa uhalisia.
 
Umewahi sikia BSc Agricultural Engineering? , na Bachelor in Veterinary Medicine (BVM) zote za SUA

kozi zooote hapa SUA huwezi dharau bana. Watu tunaomba tupate gamba sio lazima kuwa na GPA kubwa. Alafu mbona hao wa GPA kubwa wakija kufanya interview hapa SUA kuomba kazi wanashindwa? Kila interview 'screening test' je, GPA kubwa ndo kiashiria cha uchapakazi??
 
Hivi kumbe tz hadi vyuo huwa kuna mashindano nani wa1 nani2? Nina wasiwasi wataalamu wetu wengi wanaozalishwa na vyuo vya ndani ni wataalamu wa GPA tu na si taaluma kichwani.
 
Kama unakua na malengo ya kumaliza chuo kikuu na GPA kubwa, kwa hizi fani ni ngumu sana na kasa kwenye hivi vyuo.

Did you mean Telecommunication (CoICT-UDSM)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…