kuku wa kienyeji
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 494
- 151
hahaha una akili kama jina la avatar yako hah hah hah babaa
BA-ECONOMICS ya hapa udsm haipo?ebu rudia kufanya utafiti wako upya..kufikisha hyo course work ya 16 tu mpaka twende muda wa nyongeza au wakati mwingne zinapatikana kwa matuta.
Mkuu usisahau mwaka jana alieongoza kwa gpa kubwa katoka economics UDSM
Kama unakua na malengo ya kumaliza chuo kikuu na GPA kubwa, kwa hizi fani ni ngumu sana na hasa kwenye hivi vyuo.
1. BSc Land Management and Valuation (Ardhi University)
2. BSc Geomatics (Ardhi university)
3.BA Architecture (Ardhi University)
4.Doctor of Meedicine (KCMC0)
5.Tele commonication (COET-UDSM)
6.Barchelor of Education in Mathematics (UDOM)

Kupata unaweza kupata chochote ukiwa na focus kuna dada amemaliza 2014 kapata GPA ya 5.0 Architecture ARU
we jamaa unasoma ardhi,Ila malengo yako yalikuwa ni udaktari ndo ushaukosa hivyo,pole
BSc Agricultural Engineering tunatubu huku SUA watu tunatembelea chaki maji yanataka kuzidi unga