Kwa hizi mvua zinazoendelea upo umuhimu wa kupima kila sehemu kuepusha madhara ya kimazingira yanayoweza kutokea

ThisisDenis

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
162
Reaction score
139
Kuna haja ya kupima maemeo yote ambayo yanatumika kwa makzi, ilikuepuka changamoto ambazo zinaweza kusababisha madhara.

Ni vyema wahusika na wapimaji wa ardhi wangeanza kwanza upimaji kabl ya kukabidhi ardhi kwa wamiliki ili ianze kutumiwa au kuuzwa.

Licha ya mwazo haya pia napendekeza taharhari ziendelee kuchukuliwa kwa wakazi ambao wako maeneo hatarishi..
 
Nilishangaa mpk bunju kuna mafuriko na mbezi beach wenyewe mnaita ushuani
 
Sasa Serikali Haipo Tayari Pia Ikipima Viwanja Ujue Kapuku Hupati Kitu Mpaka Scramble
 
Jangwani limefanyika jambo gani mkuu?
Miaka ya nyuma watu walihamishwa pale na wale ambao walikuwa wanagoma nyumba zao zilivunjwa na kwenda kupatiwa maeneo mengine hasa kule pande.
Now days vilio vya watu kuzungukwa na maji havipo tena
 
Kuna haja ya kupima maemeo yote ambayo yanatumika kwa makzi, ilikuepuka changamoto ambazo zinaweza kusababisha madhara.

Ni vyema wahusika na wapimaji wa ardhi wangeanza kwanza upimaji kabl ya kukabidhi ardhi kwa wamiliki ili ianze kutumiwa au kuuzwa.

Licha ya mwazo haya pia napendekeza taharhari ziendelee kuchukuliwa kwa wakazi ambao wako maeneo hatarishi..
Too late to do that.
 
Back
Top Bottom