ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
HaswaaMkuu una point ya msingi sana
Au tufanye kama tulivyofanya kule jangwani. Saiv safiii hamna tena kelele hata inyeshe kubwa.
ILa mkuu jangwan saiv vilio hamna tena maana serikal iliuma meno ikafanya jambo saiv safiiiiii.Jangwani kunaenda kua next level soon
IMepunguza ndo maana vilio vya mafuriko husikii kama miaka 5 nyumaBado haijamaliza
Jambo gani imefanya?ILa mkuu jangwan saiv vilio hamna tena maana serikal iliuma meno ikafanya jambo saiv safiiiiii.
Jangwani limefanyika jambo gani mkuu?ILa mkuu jangwan saiv vilio hamna tena maana serikal iliuma meno ikafanya jambo saiv safiiiiii.
Miaka ya nyuma watu walihamishwa pale na wale ambao walikuwa wanagoma nyumba zao zilivunjwa na kwenda kupatiwa maeneo mengine hasa kule pande.Jangwani limefanyika jambo gani mkuu?
Too late to do that.Kuna haja ya kupima maemeo yote ambayo yanatumika kwa makzi, ilikuepuka changamoto ambazo zinaweza kusababisha madhara.
Ni vyema wahusika na wapimaji wa ardhi wangeanza kwanza upimaji kabl ya kukabidhi ardhi kwa wamiliki ili ianze kutumiwa au kuuzwa.
Licha ya mwazo haya pia napendekeza taharhari ziendelee kuchukuliwa kwa wakazi ambao wako maeneo hatarishi..