Kwa hizi point anaweza soma diploma clinical officer

Kwa hizi point anaweza soma diploma clinical officer

Victor 20

Senior Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
146
Reaction score
15
Kijana katika PCB ana phy-C,chem-C,bios-D,math-D,

huyu A-level afya anasoma sasa why diploma clinical officer haimhusu msaada.
 
kwa hizo point je anaweza kupata chuo cha afya
 
2010 Had leo alikuwa anasubiri nin... after all what is important ni yeye kujiangalia kama anapenda hiyo fani.. kwa umri wake cmshauri aende form 5... atatumia muda mwingi na kama kichwani ameshapaharibu na maisha ya mtaani ndo baasi tena.... bora aanze na Diploma ya Clinical medicine mtwara, Mbeya...na Mwanza au kama hataki mbali kote huko aende st peters mbezi... chuo kizuri ada nafuu na kinatambuliwa.. ila ningekuwa yeye ningesoma dip ya pharm... wanaitwa ma pharmaceutical technician..inalipa alafu kaz unafanya mjini utaweza kujiendeleza ukiwa unafanya kazi... power to him.
 
asante mkuu kwa ushauri mzuri ila st.peters ada ni sh. ngapi maana vyuo vingi ni mil.3 hivi vya private
 
Wakuu me nimepata biology C chemistry D physics D english B na math E nimemaliza mwaka jana naomba kuuliza naweza kusomea clinical officer na michakato ya kupata chuo naanzaje naomba msaada wenu
 
Back
Top Bottom