2010 Had leo alikuwa anasubiri nin... after all what is important ni yeye kujiangalia kama anapenda hiyo fani.. kwa umri wake cmshauri aende form 5... atatumia muda mwingi na kama kichwani ameshapaharibu na maisha ya mtaani ndo baasi tena.... bora aanze na Diploma ya Clinical medicine mtwara, Mbeya...na Mwanza au kama hataki mbali kote huko aende st peters mbezi... chuo kizuri ada nafuu na kinatambuliwa.. ila ningekuwa yeye ningesoma dip ya pharm... wanaitwa ma pharmaceutical technician..inalipa alafu kaz unafanya mjini utaweza kujiendeleza ukiwa unafanya kazi... power to him.
Wakuu me nimepata biology C chemistry D physics D english B na math E nimemaliza mwaka jana naomba kuuliza naweza kusomea clinical officer na michakato ya kupata chuo naanzaje naomba msaada wenu