2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Rejea kichwa cha habari juu.
Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja.
Hoja zao siyo mpya zilishatolewa na wabunge wa upinzani huko nyuma lakini walionekana "watu wa kupinga pinga kila kitu" wasiotaka serikali ikusanye kodi.
Tunamshukuru Magufuli sababu sasa mbinyo umekuwa ni kwa wote, uwe mpizani uwe chamani maumivu lazma uyapate huko uliko.
Huku nikiwazoom tu 2025 siyo mbali wakumbuke hata ka ataongezeaa muhula 10 maumivu ni kwa wote. Naishia hapo kwa leo.