Kwa hotuba ya jana Luhaga Mpina kwa ufupi anatuambia vijana kwa pamoja tuamke. Haustahili kuwa na hali hiyo kijana

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!.

Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika, viongozi weziz Mafisadi ,Wapuuziaji wa Kila kitu , aina hii ya viongozi ndio wametufikisha hapa.

Kama hujasikiliza au kusoma Hotuba ya LUHAGA MPINA , jitahidi uipitie Kisha amua hatua gan yakupasa uwajibike kwayo !!.
 
Hii nchi ni shida sana.

Ni kama inajizungusha na kujiendesha yenyewe tu.
 
Angeanza kuwa mfano yeye kupinga rushwa na vyeo vya kupeana kwa kupitishwa bila kupingwa..!!

Hizo ni mbinu za kuwarubuni wananchi na veggies wenzie wasimtose kwenye uchaguzi.!
 
Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!.

Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika, viongozi weziz Mafisadi ,Wapuuziaji wa Kila kitu , aina hii ya viongozi ndio wametufikisha hapa.

Kama hujasikiliza au kusoma Hotuba ya LUHAGA MPINA , jitahidi uipitie Kisha amua hatua gan yakupasa uwajibike kwayo !!.
Kwa hiyo mumelala? Umaskini ni halali yenu
 
Back
Top Bottom