Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!.
Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika, viongozi weziz Mafisadi ,Wapuuziaji wa Kila kitu , aina hii ya viongozi ndio wametufikisha hapa.
Kama hujasikiliza au kusoma Hotuba ya LUHAGA MPINA , jitahidi uipitie Kisha amua hatua gan yakupasa uwajibike kwayo !!.