Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Nimekutana na Hotuba ya JK TBC haikuwa Live ila.Ila kipande nilichokisia ,nimeweza soma mood na mind ya JK..ni wazi kuwa JK alikuwa akiongelea jinsi CCM ilivyoshindwa ktk hili,na mipango yao itaishia kuwa kichekeshoa kikubwa sana. Hata michango yenye thamani ahitoki upande wa CCM, na wapinzani wengi, wana sync na makundi mengine ya kijamii pamoja na wanaharakati.Wote wana timu makini sana. Km kawa wanaharakati na makundi yaliyowekwa kusindikiza CCM ni dhaifu sana kihoja.