Hivi unafuatilia michango ya akina Ole Sendeka, Ummy Mwalimu, Peter Serukamba, Hamisi Kigwangala na wengineo ambao ni wabunge wa ccm?Nimekutana na Hotuba ya JK TBC haikuwa Live ila.Ila kipande nilichokisia ,nimeweza soma mood na mind ya JK..ni wazi kuwa JK alikuwa akiongelea jinsi CCM ilivyoshindwa ktk hili,na mipango yao itaishia kuwa kichekeshoa kikubwa sana. Hata michango yenye thamani ahitoki upande wa CCM, na wapinzani wengi, wana sync na makundi mengine ya kijamii pamoja na wanaharakati.Wote wana timu makini sana. Km kawa wanaharakati na makundi yaliyowekwa kusindikiza CCM ni dhaifu sana kihoja.
hiyo ndio hazina ya CCM...kuna km hili la kuchomekea michango la leo hadi likashtua mwenyeketi wa kamati wa kizenj..kamtoa nishai sana.Hadi kificho kawasuluhisha nje. Hivi huyu sendeka na shoga yake Kilango hivi wanafikiri vipi..huu ujinga utasaidi avipi masai wa Simanjiro...ana kili ndogo sana huyu jamaa.Kuzoea Bunge basi nae kajionea intellectual CCM wanacheza rough nyingi sana..hadi wanafikia kuingiza majina ambayo hayakuwepo ni wazi kuwa wanakimbizana na eventualityHivi unafuatilia michango ya akina Ole Sendeka, Ummy Mwalimu, Peter Serukamba, Hamisi Kigwangala na wengineo ambao ni wabunge wa ccm?
JK hata mimi nilimshangaa sana...sikuamini km ni akili yake kwa jisni alivyojitahidi kufanya mazungumzo kuwe mepesi kuliko tulivyomzoea..anyway...kuna issue kaziona kuwa ni real tough.....ni suala la muda tuu..hata wana CCM kule ndani akili zitawajia km si jk kuwa induce kitu kitogo..... Ule unyago wa pinda naona ndio unawaharibu tena wabunge wa CCM,ndio maana wanakimbizana na eventualities na kusimama hovyohovyo hata km hawakuwa ktk jedwali...nilimsikia kikwete. Kaongea kwa busara sana. Sikupata kumsikia akiongea kwa busara kama vile. Kawaambia ccm wanaotaka serikali 2 watoe hoja kwa nini na si kubaki kusema ni sera yetu. Kawaambia pia hata kama wana misimamo yao ki chama lakini wasisite kubadilika na kufuata hoja nzuri watoazo wajumbe wa makundi mengine. Ni kama alikua akiwaandaa ki saikolojia.