kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Amber Lulu kauanza vizuri sana huu mwaka, akiendelea kukaza hivi baada ya mda mfupi atakuwa mbali sana. Jini kisirani imekuwa hit song kama ilivokuwa papa ya gig money mwaka jana.
Umeua sana mwanangu Amber Lulu kwenye hii ngoma.
Umeua sana mwanangu Amber Lulu kwenye hii ngoma.