Haiwezekani Mchezaji Christiano Ronaldo Siku zote alikuwa hana Urafiki na Kylian Mbape na Timu ya Ufaransa leo hii amekuwa nae na kuwa nao bega kwa bega.
Haiwezekani FIFA wanajua fika kuwa Wareno kwa Upendo walionao kwa Ndugu yao Christiano Ronaldo Wanamchukia Mchezaji Lionel Messi halafu leo tena wanampanga Mwamuzi (Referee) Artur Soares kuchezesha Mechi ya Fainali ya Kombe la Dunia Siku ya Jumapili huko nchini Qatar.
Cognizant (alias) Adorable Angel nikiwa ni Team Argentina na Team Messi naanza kupatwa na Hofu (Wasiwasi) japo Kiufundi wa Uwanjani naiona Argentina wako vizuri na Watashinda na kuwa Mabingwa.