MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Yanga SC haiandaliwi Kiushindani Uwanjani ila kilichopungua tu sasa ni Strategy ya Kibiashara zaidi ambapo kila mwaka Timu inasajili Wachezaji wengi wa Kigeni kisha kuwatengenezea Hamasa ya Kimvuto kwa Mashabiki halafu wanatumika Kujaza Uwanja na Kuuza Jezi zao nyingi na Kutajirisha Kampuni na Watu wachache wachache tu", Alex Luambano.
Chanzo: Hili Game Program Clouds FM
Mtangazaji Alex Luambano hujawahi Kuniangusha (hasa katika Suala la kusema Ukweli) na Kitu pekee ninachokupendea huwa huna Upendeleo katika Kuvisema hivi Vilabu vikubwa na vikongwe nchini Tanzania vya Simba na Yanga.
Kwa hiki ulichokisema leo najua utachukiwa na Wapuuzi na Wanafiki wengi ( hasa wenye Upeo Hafifu ) ila kwa Wanamichezo tunaojitambua na Kichwani zimetimia tumekuelewa na ndiyo maana tunasema unastahili Tuzo ya Heshima.